OmmyTech ni SMM panel ya Tanzania inayokusaidia kukuza akaunti zako za Instagram, TikTok, YouTube, Facebook na Telegram. Unaweka oda mwenyewe, unalipa kwa simu, na mfumo unaishughulikia kiotomatiki.
Bei nafuu: Bei zetu zimepangwa kwa shilingi za Tanzania, na unaona bei ya kila huduma kabla ya kuweka oda.
Lipa kwa simu: Weka salio kwa Airtel Money, Mixx by Yas, HaloPesa au AzamPesa. Salio linaingia kwenye akaunti yako baada ya malipo kukamilika.
Huduma nyingi sehemu moja: Followers, likes, views, subscribers na comments za mitandao mbalimbali ya kijamii.
Mfumo wa kiotomatiki: Oda yako inaanza kushughulikiwa mara tu unapoiweka, na unaifuatilia kwenye akaunti yako.
Usalama wa akaunti yako: Hatuombi password ya akaunti yako ya mtandao wa kijamii. Unaweka link au username pekee.
Instagram: Nunua followers, likes na views za Instagram ili ukurasa wako uonekane na watu wengi zaidi.
TikTok: Ongeza followers, likes na views za video zako za TikTok.
YouTube: Pata views, likes na subscribers kwa channel yako ya YouTube.
Facebook: Ongeza likes na followers wa ukurasa wako wa Facebook.
Telegram na Twitter (X): Ongeza members wa channel au group yako ya Telegram, na followers wa Twitter.
Unauza followers na likes kwa wateja wako? OmmyTech ina API unayoweza kuunganisha na panel yako, ili oda za wateja wako zishughulikiwe moja kwa moja.
Ukipata tatizo la oda au malipo, fungua tiketi ndani ya akaunti yako na timu yetu itakusaidia.
Zaidi ya wateja 2,700 wamejisajili OmmyTech. Jisajili bure na uweke oda yako ya kwanza leo.
OmmyTech is an SMM panel based in Tanzania. Buy Instagram, TikTok, YouTube, Facebook and Telegram followers, likes and views at affordable prices, and pay with mobile money.